Karibu kwenye profile yangu 😊 Mimi ni mtu mwenye urafiki, napenda kuzungumza na watu wapya na kujifunza kuhusu maisha na tamaduni za watu kutoka nchi mbalimbali. Niko hapa kwa ajili ya mazungumzo mazuri, ya kirafiki na yenye heshima. Ninaongea Kiswahili vizuri, hivyo kama unaelewa Kiswahili, karibu sana tuzungumze. Kama wewe ni mtu wa nje ya Tanzania na hujui Kiswahili vizuri, usiwe na wasiwasi. Naweza kujaribu kuwasiliana kwa English rahisi kadiri nitakavyoweza. Tunaweza tukazungumzia maisha